2 Wakorintho 10:18
Anayekubaliwa si yule anayejisifu mwenyewe, bali yule anayesifiwa na Bwana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For not he that commendeth himself is approved, but whom the Lord commendeth.
In Context
17Lakini kama yasemavyo Maandiko: “Mwenye kuona fahari na aone fahari juu ya alichofanya Bwana.”
Cross References
Luke 16:15Hapo akawaambia, “Ninyi mnajifanya wema mbele ya watu, lakini Mungu anaijua mioyo yenu. Kwa maana kile kinachoonekana kuwa kitukufu mbele ya watu, Mungu anakiona kuwa takataka.
John 5:42Lakini nawajua ninyi, najua kwamba upendo kwa Mungu haumo mioyoni mwenu.
Acts 2:22“Wananchi wa Israeli, sikilizeni maneno haya! Yesu wa Nazareti alikuwa mtu ambaye mamlaka yake ya kimungu yalithibitishwa kwenu kwa miujiza, maajabu na ishara Mungu alizofanya kati yenu kwa njia yake, kama mnavyojua.
Romans 14:18Anayemtumikia Kristo namna hiyo humpendeza Mungu, na kukubaliwa na watu.