2 Wakorintho 10:3
Kweli tunaishi duniani, lakini hatupigani vita kidunia.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For though we walk in the flesh, we do not war after the flesh:
In Context
Cross References
2 Corinthians 10:4Maana, silaha tunazotumia katika vita vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu za Mungu zenye kuharibu ngome zote. Tunaharibu hoja zote za uongo,
1 Timothy 1:18Mwanangu Timotheo, nakukabidhi amri hii kufuatana na maneno ya unabii yaliyosemwa zamani juu yako. Yatumie maneno hayo yawe silaha yako katika kupigana vita vizuri,
2 Timothy 4:7Nimefanya bidii katika mashindano, nimemaliza safari yote na imani nimeitunza.
1 Peter 4:1Maadamu Kristo aliteseka kimwili, nanyi pia mnapaswa kujiimarisha kwa nia hiyo yake; maana mtu akisha teseka kimwili hahusiki tena na dhambi.