2 Wakorintho 10:4
Maana, silaha tunazotumia katika vita vyetu si silaha za kidunia, ila ni nguvu za Mungu zenye kuharibu ngome zote. Tunaharibu hoja zote za uongo,
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
3Kweli tunaishi duniani, lakini hatupigani vita kidunia.
Cross References
Acts 7:22Mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na matendo.
Romans 13:12Usiku unakwisha na mchana unakaribia. Basi, tutupilie mbali mambo yote ya giza, tukajitwalie silaha za mwanga.