2 Wakorintho 10:9
Sipendi mfikiri kwamba nataka kuwatisha ninyi kwa barua zangu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
That I may not seem as if I would terrify you by letters.
In Context
Cross References
1 Corinthians 4:5Basi, msihukumu kabla ya wakati wake acheni mpaka Bwana atakapokuja. Yeye atayafichua mambo ya giza yaliyofichika, na kuonyesha wazi nia za mioyo ya watu. Ndipo kila mmoja atapata sifa anayostahili kutoka kwa Mungu.
2 Corinthians 10:10Mtu anaweza kusema: “Barua za Paulo ni kali na zenye maneno mazito, lakini yeye mwenyewe anapokuwa pamoja nasi ni mtu dhaifu, na hata anapoongea maneno yake ni kama si kitu.”