2 Wakorintho 11:19
Ninyi ni wenye busara, ndiyo maana hata mnawavumilia wapumbavu!
Biblia Takatifu
In The King James Version
For ye suffer fools gladly, seeing ye yourselves are wise.
In Context
18Maadam wengi hujivuna kwa sababu za kidunia, nami pia nitajivuna.
Cross References
1 Corinthians 8:1Yahusu sasa vyakula vilivyotambikiwa sanamu: Tunajua kwamba sisi sote tuna ujuzi, lakini ujuzi huo huwafanya watu wawe na majivuno; lakini mapendo hujenga.
Revelation 3:17Wewe unajisema, Mimi ni tajiri; ninajitosheleza, sina haja ya kitu chochote. Kumbe, hujui kwamba wewe ni mnyonge, unahitaji kuhurumiwa, maskini, kipofu tena uko uchi!