2 Wakorintho 11:29
Kama mtu yeyote ni dhaifu, nami pia ni dhaifu; mtu yeyote akikwazwa, nami pia huwa na wasiwasi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Who is weak, and I am not weak? who is offended, and I burn not?
In Context
28Na, licha ya mengine mengi, kila siku nakabiliwa na shughuli za makanisa yote.
30Ikinilazimu kujivuna, basi, nitajivunia udhaifu wangu.
Cross References
John 2:17Wanafunzi wake wakakumbuka kwamba Maandiko yasema: “Upendo wangu kwa nyumba yako waniua.”
Romans 15:1Sisi tulio imara katika imani tunapaswa kuwasaidia wale walio dhaifu wayakabili matatizo yao. Tusijipendelee sisi wenyewe tu.
1 Corinthians 6:5Aibu kwenu! Ndiyo kusema hakuna hata mmoja miongoni mwenu mwenye hekima kiasi cha kuweza kutatua tatizo kati ya ndugu waumini?
1 Corinthians 8:13Kwa hiyo, ikiwa chakula husababisha kuanguka kwa ndugu yangu, sitakula nyama kamwe, nisije nikamfanya ndugu yangu aanguke katika dhambi.