The Bible Software
bible.software › 2 Wakorintho › 2 Wakorintho 11 › 2 Wakorintho 11:30

2 Wakorintho 11:30

Ikinilazimu kujivuna, basi, nitajivunia udhaifu wangu.

Biblia Takatifu

In The King James Version

If I must needs glory, I will glory of the things which concern mine infirmities.

In Context

29Kama mtu yeyote ni dhaifu, nami pia ni dhaifu; mtu yeyote akikwazwa, nami pia huwa na wasiwasi.

31Mungu na Baba wa Bwana Yesu—jina lake litukuzwe milele—yeye anajua kwamba sisemi uongo.

Read all of 2 Wakorintho 11

Cross References

1 Corinthians 2:3Nilipokuwa kwenu nilikuwa dhaifu, natetemeka kwa hofu nyingi.

2 Corinthians 12:1Nitajivuna basi, ingawa haifai! Lakini sasa nitasema juu ya maono na ufunuo alivyonijalia Bwana.

Colossians 1:24Na sasa nafurahi kuteseka kwa ajili yenu, maana kwa mateso yangu hapa duniani, nasaidia kukamilisha kile kilichopungua bado katika mateso ya Kristo kwa ajili ya mwili wake, yaani kanisa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study 2 Wakorintho 11:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← 2 Wakorintho 11:292 Wakorintho 112 Wakorintho 11:31 →