2 Wakorintho 11:33
Lakini, ndani ya kapu kubwa, niliteremshwa nje kupitia katika nafasi ukutani, nikachopoka mikononi mwake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And through a window in a basket was I let down by the wall, and escaped his hands.
In Context
Cross References
Acts 9:25Lakini wakati wa usiku wanafunzi wake walimchukua, wakamteremsha chini ndani ya kapu kubwa kwa kupitia nafasi iliyokuwako ukutani.