2 Wakorintho 11:5
Sidhani kwamba mimi ni mdogo kuliko hao “mitume wakuu.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
For I suppose I was not a whit behind the very chiefest apostles.
In Context
Cross References
1 Corinthians 15:10Lakini, kwa neema yake Mungu, nimekuwa kama nilivyo. Na neema yake kwangu haikuwa bure. Mimi nimefanya kazi kuliko wote; si mimi hasa, ila ni neema ya Mungu ifanyayo kazi pamoja nami.
Galatians 2:6Lakini watu hawa wanaosemekana kuwa ni viongozi—kama kweli walikuwa hivyo au sivyo, kwangu si kitu, maana Mungu hahukumu kwa kuangalia mambo ya nje—watu hawa hawakuwa na kitu cha kuongeza katika Habari hii Njema kama niihubirivyo.