2 Corinthians 12:21
Nina hofu kwamba nitakapokuja tena kwenu, Mungu wangu atanidhili mbele yenu, nami nitasikitishwa na wengi waliotenda dhambi mbeleni, na wala hawajatubu kwa uchafu wao, uasherati, na ufisadi walioushiriki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 32:31Hivyo Mose akarudi kwa Bwana na kumwambia, “Lo! Hawa watu wamefanya dhambi kubwa namna gani! Wamejitengenezea miungu ya dhahabu.
Deuteronomy 9:25Nilianguka kifudifudi mbele za Bwana kwa zile siku arobaini usiku na mchana kwa sababu Bwana alikuwa amesema angewaangamiza ninyi.
Ezra 9:3Niliposikia jambo hili nilirarua koti langu na joho langu, nikazingʼoa nywele za kichwa changu na ndevu zangu na kuketi nikishangaa.
Psalms 119:136Chemchemi za machozi zinatiririka kutoka machoni yangu, 2 kwa kuwa sheria yako haifuatwi. 2 Haki Ya Sheria Ya Bwana 1
Jeremiah 13:17Lakini kama hamtasikiliza, 2 nitalia sirini 2 kwa ajili ya kiburi chenu; 1 macho yangu yatalia kwa uchungu, 2 yakitiririka machozi, 1 kwa sababu kundi la kondoo la Bwana 2 litachukuliwa mateka. 1
Romans 9:2Nina huzuni kuu na uchungu usiokoma moyoni mwangu.