2 Wakorintho 12:3
Narudia: najua kwamba mtu huyo alinyakuliwa mpaka peponi. (Lakini sijui kama alikuwa huko kwa mwili au kwa roho; Mungu ajua.)
Biblia Takatifu
In The King James Version
And I knew such a man, (whether in the body, or out of the body, I cannot tell: God knoweth;)
In Context
4Huko akasikia mambo ya siri ambayo binadamu hastahili kuyatamka.
Cross References
2 Corinthians 12:2Namjua mtu mmoja Mkristo, ambaye miaka kumi na minne iliyopita alinyakuliwa mpaka katika mbingu ya tatu. (Sijui kama alikuwa huko kwa mwili au kwa roho; Mungu ajua.)