2 Wakorintho 2:10
Mkimsamehe mtu, nami pia ninamsamehe. Maana ninaposamehe—kama kweli ninacho cha kusamehe—nasamehe mbele ya Kristo kwa ajili yenu,
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
9Madhumuni yangu kuandika ile barua yalikuwa kutaka kujua kama mko tayari kutii katika kila jambo.
11ili tusimpe nafasi Shetani atudanganye; maana twaijua mipango yake ilivyo.
Cross References
John 20:23Mkiwasamehe watu dhambi zao, wamesamehewa; msipowaondolea, hawasamehewi.”
2 Corinthians 5:20Basi, sisi tunamwakilisha Kristo, naye Mungu mwenyewe anatutumia sisi kuwasihi ninyi. Tunawaombeni kwa niaba ya Kristo, mpatanishwe na Mungu.