2 Wakorintho 2:4
Kwa maana niliwaandikia kutokana na dhiki kubwa na kutaabika sana kwa moyo wangu tena kwa machozi mengi, shabaha yangu si ili niwasababishe mhuzunike bali kuwaonyesha kina cha upendo wangu kwenu. 1 Msamaha Kwa Mwenye Dhambi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 119:136Chemchemi za machozi zinatiririka kutoka machoni yangu, 2 kwa kuwa sheria yako haifuatwi. 2 Haki Ya Sheria Ya Bwana 1
Jeremiah 13:15Sikieni na mzingatie, 2 msiwe na kiburi, 2 kwa kuwa Bwana amenena. 1
Romans 9:2Nina huzuni kuu na uchungu usiokoma moyoni mwangu.
2 Corinthians 7:12Hivyo ingawa niliwaandikia, haikuwa kwa sababu ya huyo aliyekosa au huyo aliyekosewa. Lakini nilitaka ninyi wenyewe mwone, mbele za Mungu, jinsi mlivyojitoa kwa ajili yetu.
2 Corinthians 12:15Hivyo nitafurahi kutumia kila kitu nilicho nacho kwa ajili yenu, hata mwili wangu pia. Hata ingawa inaonekana ninavyozidi kuwapenda, ndivyo upendo wenu kwangu unavyopungua.