2 Wakorintho 2:7
Basi sasa badala yake, inawapasa kumsamehe na kumfariji, ili asigubikwe na huzuni kupita kiasi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Adhabu hii aliyopewa na wengi inamtosha.
8Kwa hiyo, nawasihi, mpate kuuthibitisha tena upendo wenu kwa ajili yake.
Cross References
Psalms 21:9Wakati utakapojitokeza 2 utawafanya kama tanuru ya moto. 1 Katika ghadhabu yake Bwana atawameza, 2 moto wake utawateketeza. 1
Psalms 57:3Hutumana kutoka mbinguni na kuniokoa, 2 akiwakemea wale wanaonifuatilia vikali; 2 Mungu huutuma upendo wake na uaminifu wake. 1
Proverbs 1:12tuwameze wakiwa hai kama kaburi, + 1:12 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni. 1
Isaiah 28:7Hawa pia wanapepesuka kwa sababu ya mvinyo, 2 wanayumbayumba kwa sababu ya kileo: 1 Makuhani na manabii wanapepesuka kwa sababu ya kileo, 2 wanachanganyikiwa kwa sababu ya mvinyo; 1 wanapepesuka wanapoona maono, 2 wanajikwaa wanapotoa maamuzi. 1
2 Corinthians 5:4Kwa kuwa tukiwa bado katika hema hii twalia kwa uchungu na kulemewa, kwa sababu hatutaki kuvuliwa bali kuvikwa makao yetu ya mbinguni ili kwamba kile kipatikanacho na mauti kimezwe na uzima.
Galatians 6:1Ndugu zangu, ikiwa mtu ameghafilika akatenda dhambi, basi ninyi mlio wa rohoni, mrejesheni upya mtu huyo kwa roho ya upole. Lakini jihadharini, ili ninyi wenyewe msije mkajaribiwa.