2 Wakorintho 3:16
Lakini, wakati mtu amgeukiapo Bwana, kifuniko hicho huondolewa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Nevertheless when it shall turn to the Lord, the vail shall be taken away.
In Context
15Naam, mpaka hivi leo kila isomwapo Sheria ya Mose akili zao huwa zimefunikwa.
17Hapa “Bwana” ni Roho; na pale alipo Roho wa Bwana ndipo ulipo uhuru.
Cross References
Romans 11:23Nao Wayahudi, hali kadhalika; wakiacha utovu wao wa imani, watapandikizwa tena. Maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena.