2 Wakorintho 4:1
Basi, Mungu, kwa huruma yake, ametukabidhi kazi hii na hivyo hatufi moyo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Therefore seeing we have this ministry, as we have received mercy, we faint not;
In Context
Cross References
2 Corinthians 3:6maana yeye ndiye aliyetuwezesha kulihudumia Agano Jipya ambalo si agano la sheria iliyoandikwa, bali Agano la Roho. Maana sheria iliyoandikwa huleta kifo, lakini Roho huleta uzima.
2 Corinthians 4:16Kwa sababu hiyo hatufi moyo; na hata kama maumbile yetu ya nje yataoza, lakini kwa ndani tunafanywa wapya siku kwa siku.
Galatians 6:9Basi, tusichoke kutenda mema; maana tusipolegea tutavuna mavuno kwa wakati wake.
Ephesians 3:13Kwa hiyo, nawaombeni msife moyo kwa sababu ya mateso ninayopata kwa ajili yenu, maana hayo ni kwa ajili ya utukufu wenu.
2 Thessalonians 3:13Lakini ninyi ndugu, msichoke kutenda mema.