2 Wakorintho 4:4
Kwa habari yao, mungu wa dunia hii amepofusha akili za wasioamini, ili wasione nuru ya Injili ya utukufu wa Kristo, aliye sura ya Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Hata nayo Injili yetu kama imetiwa utaji, ni kwa wale tu wanaopotea.
Cross References
1 Kings 22:22“ Bwana akauliza, ‘Kwa njia gani?’ “Akasema, ‘Nitakwenda na kuwa roho ya uongo katika vinywa vya manabii wake wote.’ “ Bwana akasema, ‘Utafanikiwa katika kumshawishi. Nenda ukafanye hivyo.’
Isaiah 6:10Fanya mioyo ya watu hawa kuwa migumu, 2 fanya masikio yao yasisikie, 2 na upofushe macho yao. 1 Wasije wakaona kwa macho yao, 2 na wakasikiliza kwa masikio yao, 2 wakaelewa kwa mioyo yao, 1 nao wakageuka, nikawaponywa.”
Matthew 4:8Kwa mara nyingine, ibilisi akamchukua Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima mrefu na kumwonyesha falme zote za dunia na fahari zake,
John 1:18Hakuna mtu yeyote aliyemwona Mungu wakati wowote, ila ni Mungu Mwana pekee, aliye kifuani mwa Baba ndiye ambaye amemdhihirisha. 1 Ushuhuda Wa Yohana Mbatizaji (Mathayo 3:1-12; Marko 1:1-8; Luka 3:1-18)
John 12:31Sasa ni saa ya hukumu kwa ajili ya ulimwengu huu, sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje.
John 12:40“Amewafanya vipofu, 2 na kuifanya mioyo yao kuwa migumu, 1 ili wasiweze kuona kwa macho yao, 2 wala kuelewa kwa mioyo yao, 2 wasije wakageuka nami nikawaponya.”