2 Wakorintho 5:16
Basi, tangu sasa, sisi hatumpimi mtu yeyote kibinadamu. Hata kama kwa wakati mmoja tulimpima Kristo kibinadamu, sasa si hivyo tena.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
17Mtu yeyote akiungana na Kristo huwa kiumbe kipya, mambo ya kale yamepita, hali mpya imefika.
Cross References
Matthew 12:48Lakini Yesu akamjibu mtu huyo, “Mama yangu ni nani? Na ndugu zangu ni kina nani?”
John 2:4Yesu akamjibu, “Mama, usiniambie la kufanya. Saa yangu bado.”
John 15:14Ninyi ni rafiki zangu mkifanya ninayowaamuru.
Galatians 2:5Hatukukubaliana nao hata kidogo ili ukweli wa Habari Njema ubaki nanyi daima.