bible.software › 2 Wakorintho › 2 Wakorintho 5 › 2 Wakorintho 5:17
2 Wakorintho 5:17
Mtu yeyote akiungana na Kristo huwa kiumbe kipya, mambo ya kale yamepita, hali mpya imefika.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Therefore if any man be in Christ, he is a new creature: old things are passed away; behold, all things are become new.
In Context
16Basi, tangu sasa, sisi hatumpimi mtu yeyote kibinadamu. Hata kama kwa wakati mmoja tulimpima Kristo kibinadamu, sasa si hivyo tena.
18Yote ni kazi ya Mungu mwenye kutupatanisha sisi naye kwa njia ya Kristo, akatupa nasi jukumu la kuwapatanisha watu naye.
Read all of 2 Wakorintho 5
Cross References
Matthew 12:33“Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake yatakuwa mema; ufanyeni kuwa mbaya na matunda yake yatakuwa mabaya. Mti hujulikana kwa matunda yake.
Luke 5:38Divai mpya hutiwa katika viriba vipya!
This Verse In Other Editions
Study 2 Wakorintho 5:17