2 Wakorintho 5:2
Katika hema hii twalia kwa uchungu, tukitamani kuvikwa makao yetu ya mbinguni,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For in this we groan, earnestly desiring to be clothed upon with our house which is from heaven:
In Context
3kwa kuwa tukiisha kuvikwa hatutaonekana tena kuwa uchi.
Cross References
Romans 7:24Ole wangu mimi maskini! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?
1 Corinthians 15:53Kwa maana mwili huu wa kuharibika lazima uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa lazima uvae kutokufa.
Philippians 1:23Ninavutwa kati ya mambo mawili: Ninatamani kuondoka nikakae pamoja na Kristo, jambo hilo ni bora zaidi.