The Bible Software
bible.software › 2 Wakorintho › 2 Wakorintho 6 › 2 Wakorintho 6:2

2 Wakorintho 6:2

Kwa maana asema: 1 “Wakati wangu uliokubalika nilikusikia, 2 siku ya wokovu nilikusaidia.” Tazama, wakati uliokubalika ndio huu, siku ya wokovu ndiyo sasa. 1 Taabu Za Paulo

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

(For he saith, I have heard thee in a time accepted, and in the day of salvation have I succoured thee: behold, now is the accepted time; behold, now is the day of salvation.)

In Context

1Kama watendakazi pamoja na Mungu, tunawasihi msipokee neema ya Mungu bure.

3Hatuweki kitu cha kukwaza katika njia ya mtu yeyote, ili huduma yetu isionekane kuwa na lawama.

Read all of 2 Wakorintho 6

Cross References

Isaiah 49:8Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Wakati wangu uliokubalika nitakujibu, 2 nami katika siku ya wokovu nitakusaidia; 1 nitakuhifadhi, nami nitakufanya 2 kuwa agano kwa ajili ya watu, 1 ili kurudisha nchi 2 na kugawanyia urithi tena wale waliokuwa ukiwa, 1

Ezekiel 16:8“ ‘Baadaye nikapita karibu nawe, nilipokutazama na kukuona kuwa umefikia umri wa kupendwa, nililitandaza vazi langu juu yako na kuufunika uchi wako. Nikakuapia na kuingia kwenye Agano na wewe, asema Bwana Mwenyezi, nawe ukawa wangu.

Luke 18:37Wakamwambia, “Yesu wa Nazareti anapita.”

Hebrews 3:7Kwa hiyo, kama Roho Mtakatifu asemavyo: 1 “Leo, kama mkiisikia sauti yake, 2

Hebrews 4:7Kwa hiyo Mungu ameweka siku nyingine, akaiita Leo, akisema kwa kinywa cha Daudi baadaye sana, kwa maneno yaliyotangulia kunenwa: 1 “Leo, kama mkiisikia sauti yake, 2 msiifanye mioyo yenu migumu.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Wakorintho 6:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Wakorintho 6:12 Wakorintho 62 Wakorintho 6:3 →