2 Wakorintho 7:15
Hivyo upendo wake wa moyo kwenu unaongezeka zaidi akikumbuka jinsi ninyi nyote mlivyo tayari kutii, na jinsi mlivyomkaribisha kwa hofu nyingi na kutetemeka.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
16Nafurahi sana kwamba naweza kuwategemea ninyi kabisa katika kila jambo.
Cross References
Acts 16:29Baada ya kumwita mtu alete taa, huyo askari wa gereza alikimbilia ndani, akajitupa mbele ya miguu ya Paulo na Sila huku akitetemeka kwa hofu.