2 Wakorintho 7:5
Hata baada ya kufika Makedonia hatukuweza kupumzika. Kila upande tulikabiliwa na taabu: nje ugomvi; ndani hofu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
6Lakini Mungu, mwenye kuwapa shime wanyonge alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake Tito.
Cross References
Acts 20:1Ile ghasia ya Efeso ilipokwisha tulia Paulo aliwaita pamoja wale waumini, akawatia moyo. Kisha akawaaga, akasafiri kwenda Makedonia.
1 Corinthians 16:5Nitakuja kwenu, baada ya kupitia Makedonia—maana nataraji kupitia Makedonia.