bible.software › 2 Wakorintho › 2 Wakorintho 8 › 2 Wakorintho 8:13
2 Wakorintho 8:13
Nia yetu si kwamba wengine wasaidike wakati ninyi mnateseka, bali pawe na uwiano.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For I mean not that other men be eased, and ye burdened:
In Context
12Kwa kuwa kama nia ya kutoa ipo, kitolewacho kinakubalika kulingana na kile mtu alicho nacho, wala si kwa kile ambacho hana.
14Kwa wakati huu, wingi wa vitu mlivyo navyo usaidie kutosheleza mahitaji yao, ili wakati wao watakapokuwa na wingi wa vitu, nao wapate kutosheleza mahitaji yenu.
Read all of 2 Wakorintho 8
Cross References
Acts 4:34Wala hapakuwepo mtu yeyote miongoni mwao aliyekuwa mhitaji, kwa sababu mara kwa mara wale waliokuwa na mashamba na nyumba waliviuza, wakaleta thamani ya vitu vilivyouzwa,
This Verse In Other Editions
Study 2 Wakorintho 8:13