2 Wakorintho 9:14
Kwa hiyo watawaombea ninyi kwa moyo kwa sababu ya neema ya pekee aliyowajalieni Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And by their prayer for you, which long after you for the exceeding grace of God in you.
In Context
15Tumshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi yake isiyo na kifani!
Cross References
Romans 1:11Kwa maana ninatamani sana kuwaoneni ili nipate kuwagawieni zawadi ya kiroho na kuwaimarisha.
2 Corinthians 1:11ninyi mkiwa mnatuunga mkono kwa kutuombea. Hivyo neema tutakazokuwa tumepata kutokana na maombi ya watu wengi hivyo, ziwe sababu ya watu wengi zaidi kumshukuru Mungu kwa ajili yetu.
2 Corinthians 8:6Kwa sababu hiyo, tulimsihi Tito aliyeianza kazi hiyo awasaidieni pia muitekeleze huduma hii ya upendo miongoni mwenu.