2 Wakorintho 9:15
Tumshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi yake isiyo na kifani!
Biblia Takatifu
In The King James Version
Thanks be unto God for his unspeakable gift.
In Context
14Kwa hiyo watawaombea ninyi kwa moyo kwa sababu ya neema ya pekee aliyowajalieni Mungu.
Cross References
Luke 2:14“Utukufu kwa Mungu juu mbinguni, na amani duniani kwa watu aliopendezwa nao!”
John 1:16Kutokana na ukamilifu wake sisi tumepokea neema mfululizo.
Romans 5:15Lakini ipo tofauti: neema ya Mungu si kama dhambi ya Adamu. Maana, ingawa dhambi ya mtu mmoja ilisababisha kifo kwa wote, kwa fadhili ya mtu mmoja, yaani Yesu Kristo, Mungu amewazidishia wote neema na zawadi zake.