bible.software › 2 Wafalme › 2 Wafalme 11 › 2 Wafalme 11:13
2 Wafalme 11:13
Athalia aliposikia kelele iliyofanywa na walinzi pamoja na watu, akawaendea watu pale penye Hekalu la Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when Athaliah heard the noise of the guard and of the people, she came to the people into the temple of the LORD.
In Context
12Yehoyada akamtoa mwana wa mfalme na kumvika taji, akampa nakala ya agano, na kumtangaza kuwa mfalme. Wakamtia mafuta, nao watu wakapiga makofi na kupaza sauti, wakisema, “Mfalme aishi maisha marefu!”
14Akaangalia, na tazama alikuwako mfalme, akiwa amesimama karibu na nguzo, kama ilivyokuwa desturi. Maafisa na wapiga tarumbeta walikuwa pembeni mwa mfalme, nao watu wote wa nchi walikuwa wakifurahi na kupiga tarumbeta. Ndipo Athalia akararua mavazi yake na kulia, “Uhaini! Uhaini!”
Read all of 2 Wafalme 11
Cross References
2 Chronicles 23:12Athalia aliposikia kelele za watu wakikimbia na kumsifu mfalme, akawaendea watu katika Hekalu la Bwana.
This Verse In Other Editions
Study 2 Wafalme 11:13