bible.software › 2 Wafalme › 2 Wafalme 13 › 2 Wafalme 13:24
2 Wafalme 13:24
Hazaeli mfalme wa Shamu akafa, naye Ben-Hadadi mwanawe akawa mfalme baada yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So Hazael king of Syria died; and Ben-hadad his son reigned in his stead.
In Context
23Lakini Bwana akawarehemu na akawahurumia, akaonyesha kujishughulisha nao kwa sababu ya Agano lake na Abrahamu, Isaki na Yakobo. Hadi leo, hajawaangamiza wala kuwafukuza mbele zake.
25Kisha Yehoashi mwana wa Yehoahazi akateka tena kutoka kwa Ben-Hadadi mwana wa Hazaeli ile miji aliyokuwa ameitwaa kwa vita kutoka kwa baba yake Yehoahazi. Yehoashi alimshinda mara tatu, hivyo akaweza kuiteka tena ile miji ya Waisraeli.
Read all of 2 Wafalme 13
Cross References
Psalms 125:3Fimbo ya waovu haitadumu juu ya nchi 2 waliopewa wenye haki, 1 ili wenye haki wasije wakatumia 2 mikono yao kutenda ubaya. 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Wafalme 13:24