bible.software › 2 Wafalme › 2 Wafalme 16 › 2 Wafalme 16:13
2 Wafalme 16:13
Akatoa sadaka yake ya kuteketezwa na sadaka ya nafaka, akamimina sadaka ya kinywaji na kunyunyizia damu ya sadaka zake za amani juu ya hayo madhabahu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
and he burnt his burnt offering and his meat offering, and poured his drink offering, and sprinkled the blood of his peace offerings, upon the altar.
In Context
12Mfalme aliporudi kutoka Dameski na kuona hayo madhabahu, akayasogelea na kutoa sadaka juu yake.
14Mfalme Ahazi akayaondoa madhabahu ya zamani ya shaba kutoka hapo mbele ya Hekalu la Bwana, yaliyokuwa yamesimama kati ya ingilio la Hekalu na hayo madhabahu mapya, naye akayaweka upande wa kaskazini mwa hayo madhabahu mapya.
Read all of 2 Wafalme 16
Cross References
Leviticus 1:1Bwana akamwita Mose na kusema naye kutoka kwenye Hema la Kukutania, akamwambia,
This Verse In Other Editions
Study 2 Wafalme 16:13