bible.software › 2 Wafalme › 2 Wafalme 2 › 2 Wafalme 2:22
2 Wafalme 2:22
Nayo yale maji yakaponywa mpaka leo, sawasawa na neno la Elisha alilokuwa amesema. 1 Elisha Anafanyiwa Mzaha
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So the waters were healed unto this day, according to the saying of Elisha which he spake.
In Context
21Kisha akaenda kwenye chemchemi na kuitupa ile chumvi ndani yake, akisema, “Hili ndilo asemalo Bwana: ‘Nimeyaponya maji haya. Kamwe hayatasababisha mauti tena wala kutozaa.’ ”
23Kutoka huko Elisha akakwea kwenda Betheli. Ikawa alipokuwa akitembea barabarani, baadhi ya vijana wakatoka mjini na kumfanyia mzaha. Wakasema, “Paa, wewe mwenye upaa! Paa, wewe mwenye upaa!”
Read all of 2 Wafalme 2
This Verse In Other Editions
Study 2 Wafalme 2:22