bible.software › 2 Kings › 2 Kings 23 › 2 Kings 23:21
2 Kings 23:21
Mfalme akatoa agizo hili kwa watu wote: “Adhimisheni Pasaka kwa Bwana Mungu wenu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu hiki cha Agano.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the king commanded all the people, saying, Keep the passover unto the LORD your God, as it is written in the book of this covenant.
In Context
20Yosia akawachinja makuhani wote wa mahali pa juu pa kuabudia miungu katika madhabahu zao wenyewe, na kuchoma mifupa ya wanadamu juu yake. Kisha akarudi Yerusalemu. 1 Yosia Aadhimisha Pasaka
22Hapakuwahi kuwepo na adhimisho lingine la Pasaka kama hilo tangu nyakati za Waamuzi walioongoza Israeli, wala katika nyakati zote za wafalme wa Israeli na wafalme wa Yuda.
Read all of 2 Kings 23
Cross References
Exodus 12:11Hivi ndivyo mtakavyokula: Mtajifunga mikanda viunoni, mtakuwa mmevaa viatu vyenu miguuni na kushika fimbo zenu mkononi mwenu. Mle kwa haraka; hii ni Pasaka ya Bwana.
Numbers 9:2“Waamuru Waisraeli waadhimishe Pasaka katika wakati ulioamriwa.
Deuteronomy 16:1Shikeni mwezi wa Abibu, na kuiadhimisha Pasaka ya Bwana Mungu wenu, kwa sababu katika mwezi wa Abibu, Mungu aliwatoa Misri usiku.
This Verse In Other Editions
Study 2 Kings 23:21