bible.software › 2 Wafalme › 2 Wafalme 4 › 2 Wafalme 4:3
2 Wafalme 4:3
Elisha akasema, “Zunguka kwa majirani zako wote ukaombe vyombo vitupu. Usiombe vichache.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then he said, Go, borrow thee vessels abroad of all thy neighbours, even empty vessels; borrow not a few.
In Context
2Elisha akamjibu, “Nitawezaje kukusaidia? Niambie, una nini ndani ya nyumba yako?” Akasema, “Mtumishi wako hana kitu chochote kabisa, isipokuwa mafuta kidogo.”
4Kisha ingia ndani na ujifungie mlango, wewe na wanao. Mimina mafuta kwenye vyombo vyote, na kila kimoja kinapojaa, kiweke kando.”
Read all of 2 Wafalme 4
Cross References
2 Kings 3:16naye akasema, “Hivi ndivyo asemavyo Bwana, ‘Chimbeni bonde hili lijae mahandaki.’
Psalms 81:10Mimi ni Bwana Mungu wako, 2 niliyekutoa nchi ya Misri. 1 Panua sana kinywa chako 2 nami nitakijaza. 1
John 2:7Yesu akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi mpaka juu.
This Verse In Other Editions
Study 2 Wafalme 4:3