2 Petro 1:15
Nami nitafanya kila juhudi kuona kwamba baada ya kuondoka kwangu mtaweza kuyakumbuka mambo haya siku zote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 24:24Nao watu wakamwambia Yoshua, “Tutamtumikia Bwana Mungu wetu na kumtii yeye.”
Psalms 71:18Ee Mungu, usiniache, 2 hata niwapo mzee wa mvi, 1 mpaka nitangaze uwezo wako kwa kizazi kijacho, 2 nguvu zako kwa wote watakaokuja baadaye. 1
2 Thessalonians 2:5Je, hamkumbuki ya kwamba nilipokuwa pamoja nanyi niliwaambia mambo haya?
Hebrews 11:4Kwa imani Abeli alimtolea Mungu dhabihu bora zaidi kuliko Kaini. Kwa imani alishuhudiwa kuwa mwenye haki, Mungu mwenyewe akazishuhudia sadaka zake. Kwa imani bado ananena ingawa amekufa.
2 Peter 1:12Hivyo nitawakumbusha mambo haya siku zote, hata ingawa mnayajua na mmethibitishwa katika kweli mliyo nayo.