The Bible Software
bible.software2 Peter2 Peter 2 › 2 Peter 2:1

2 Peter 2:1

Lakini pia waliinuka manabii wa uongo miongoni mwa watu, kama vile watakavyokuwako walimu wa uongo miongoni mwenu. Wataingiza mafundisho yasiyopatana na kweli kwa siri, hata kumkana Bwana wa pekee aliyewanunua, na hivyo kujiletea wenyewe maangamizi ya haraka.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But there were false prophets also among the people, even as there shall be false teachers among you, who privily shall bring in damnable heresies, even denying the Lord that bought them, and bring upon themselves swift destruction.

In Context

2Hata hivyo, wengi watafuata njia zao za ufisadi, na kwa ajili yao njia ya kweli itatukanwa.

Read all of 2 Peter 2

Cross References

Deuteronomy 13:1Kama nabii, au yule anayetabiri kwa njia ya ndoto, akijitokeza miongoni mwenu na akawatangazia ishara ya miujiza na ajabu,

1 Kings 18:19Sasa waite watu kutoka Israeli yote tukutane nao juu ya Mlima Karmeli. Nawe uwalete hao manabii wa Baali mia nne na hamsini na hao manabii mia nne wa Ashera, walao chakula mezani mwa Yezebeli.”

Nehemiah 6:12Nilitambua kwamba Mungu hakumtuma, bali alitabiri dhidi yangu kwa sababu Tobia na Sanbalati walikuwa wamemwajiri.

Isaiah 56:10Walinzi wa Israeli ni vipofu, 2 wote wamepungukiwa na maarifa; 1 wote ni mbwa walio bubu, 2 hawawezi kubweka; 1 hulala na kuota ndoto, 2 hupenda kulala. 1

Jeremiah 23:16Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: 1 “Msisikilize wanachowatabiria manabii, 2 wanawajaza matumaini ya uongo. 1 Wanasema maono kutoka akili zao wenyewe, 2 hayatoki katika kinywa cha Bwana. 1

Jeremiah 27:14Msiyasikilize maneno ya manabii wanaowaambia kwamba, ‘Hamtamtumikia mfalme wa Babeli,’ kwa sababu wanawatabiria uongo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Peter 2:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
2 Peter 22 Peter 2:2 →