The Bible Software
bible.software2 Peter2 Peter 2 › 2 Peter 2:14

2 Peter 2:14

Wakiwa na macho yaliyojaa uzinzi, kamwe hawaachi kutenda dhambi. Huwashawishi wale wasio imara. Wao ni hodari kwa kutamani; ni wana wa laana!

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Having eyes full of adultery, and that cannot cease from sin; beguiling unstable souls: an heart they have exercised with covetous practices; cursed children:

In Context

13Watalipwa madhara kwa ajili ya madhara waliyowatendea wengine. Huhesabu kuwa ni fahari kufanya karamu za ulevi na ulafi mchana peupe. Wao ni mawaa na dosari, wakijifurahisha katika anasa zao wanaposhiriki katika karamu zenu.

15Wameiacha njia iliyonyooka, wakapotoka na kuifuata njia ya Balaamu mwana wa Beori aliyependa mshahara wa uovu.

Read all of 2 Peter 2

Cross References

Job 31:7kama hatua zangu zimepotoka kutoka kwenye njia, 2 kama moyo wangu umeongozwa na macho yangu, 2 au kama mikono yangu imetiwa unajisi, 1

Proverbs 6:25Moyo wako usitamani uzuri wake 2 wala macho yake yasikuteke, 1

Isaiah 34:5Upanga wangu umekunywa na kushiba huko mbinguni, 2 tazama, unashuka katika hukumu juu ya Edomu, 1 wale watu ambao nimeshawahukumu, 2 kuwaangamiza kabisa. 1

Jeremiah 13:23Je, Mkushi aweza kubadili ngozi yake 2 au chui kubadili madoadoa yake? 1 Vivyo hivyo nawe huwezi kufanya mema 2 wewe uliyezoea kutenda mabaya. 1

Matthew 12:34Enyi uzao wa nyoka! Mnawezaje kunena mambo mema, wakati ninyi ni waovu? Kwa maana kinywa cha mtu huyanena yale yaliyoujaza moyo wake.

Matthew 25:41“Kisha atawaambia wale walio upande wake wa kushoto, ‘Ondokeni kwangu, ninyi mliolaaniwa, nendeni kwenye moto wa milele ulioandaliwa kwa ajili ya ibilisi na malaika zake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Peter 2:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Peter 2:132 Peter 22 Peter 2:15 →