2 Peter 2:21
Ingelikuwa afadhali kwao kama wasingeliijua kamwe njia ya haki, kuliko kuijua kisha wakaiacha ile amri takatifu waliyokabidhiwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 125:5Bali wale wanaogeukia njia zilizopotoka, 2 Bwana atawafukuza pamoja na watenda mabaya. 1 Amani iwe juu ya Israeli.
Proverbs 16:31Mvi ni taji ya utukufu; 2 hupatikana kwa maisha ya uadilifu. 1
Ezekiel 18:24“Lakini kama mtu mwenye haki akiacha haki yake na kutenda dhambi na kufanya mambo ya machukizo ambayo mtu mwovu hufanya, Je, ataishi? Hakuna hata mojawapo ya matendo ya haki aliyotenda litakalokumbukwa. Kwa sababu ya kukosa uaminifu kwake anayo hatia na kwa sababu ya dhambi alizozitenda, atakufa.
Zephaniah 1:6wale wanaoacha kumfuata Bwana, 2 wala hawamtafuti Bwana 2 wala kutaka shauri lake. 1
Matthew 21:32Kwa maana Yohana alikuja kwenu kuwaonyesha njia ya haki, lakini hamkumsadiki, lakini watoza ushuru na makahaba wakamsadiki. Nanyi hata mlipoona hayo, baadaye hamkutubu na kumsadiki. 1 Mfano Wa Wapangaji Waovu (Marko 12:1-12; Luka 20:9-19)
John 9:41Yesu akawajibu, “Kama mngekuwa vipofu kweli, msingekuwa na hatia ya dhambi, lakini kwa kuwa mnasema, ‘Tunaona,’ basi mna hatia.