2 Petro 3:10
Lakini siku ya Bwana itakuja kama mwizi. Ndipo mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu; navyo vitu vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia na kila kitu kilichomo ndani yake kitaunguzwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 97:5Milima huyeyuka kama nta mbele za Bwana, 2 mbele za Bwana wa dunia yote. 1
Isaiah 2:12Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba 2 kwa wote wenye kujivuna na wenye kiburi, 2 kwa wote wanaojikweza 2 (nao watanyenyekezwa), 1
Isaiah 34:4Nyota zote za mbinguni zitayeyuka 2 na anga litasokotwa kama kitabu, 1 jeshi lote la angani litaanguka 2 kama majani yaliyonyauka kutoka kwenye mzabibu, 2 kama tini iliyonyauka kutoka kwenye mtini. 1
Joel 1:15Ole kwa siku hiyo! 2 Kwa kuwa siku ya Bwana iko karibu; 1 itakuja kama uharibifu 2 kutoka kwa Mwenyezi. + 1:15 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1
Joel 2:31Jua litageuzwa kuwa giza 2 na mwezi kuwa mwekundu kama damu, 1 kabla ya kuja siku ya Bwana 2 ile kuu na ya kutisha. 1
Amos 9:5Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 yeye agusaye dunia nayo ikayeyuka, 2 na wote wakaao ndani mwake wakaomboleza: 1 nayo nchi yote huinuka kama Naili, 2 kisha hushuka kama mto wa Misri; 1