bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 1 › 2 Samweli 1:13
2 Samweli 1:13
Daudi akamwambia yule kijana aliyemletea taarifa, “Wewe ni mwenyeji wa wapi?” Akamjibu, “Mimi ni mwana wa mgeni, Mwamaleki.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And David said unto the young man that told him, Whence art thou? And he answered, I am the son of a stranger, an Amalekite.
In Context
12Wakaomboleza, wakalia pia na kufunga mpaka jioni kwa ajili ya Sauli na Yonathani mwanawe, kwa ajili ya jeshi la Bwana na nyumba ya Israeli, kwa sababu wameanguka kwa upanga.
14Daudi akamuuliza, “Kwa nini hukuogopa kuinua mkono wako ili kumwangamiza mpakwa mafuta wa Bwana?”
Read all of 2 Samweli 1
Cross References
2 Samuel 1:8“Akaniuliza, ‘Wewe ni nani?’ “Nikamjibu, ‘Mimi ni Mwamaleki.’
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 1:13