bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 1 › 2 Samweli 1:5
2 Samweli 1:5
Ndipo Daudi akamwambia huyo kijana aliyemletea taarifa, “Je, umefahamuje kwamba Sauli na Yonathani mwanawe wamekufa?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And David said unto the young man that told him, How knowest thou that Saul and Jonathan his son be dead?
In Context
4Daudi akamuuliza, “Ni nini kilichotokea? Niambie.” Akasema, “Watu walikimbia kutoka vitani. Wengi wao walianguka na kufa. Naye Sauli na Yonathani mwanawe wamekufa.”
6Yule kijana akasema, “Nilijipata huko Mlima Gilboa, naye Sauli alikuwa huko akiegemea mkuki wake, na magari ya vita na wapanda farasi wa upande wa adui wakawa wamemkaribia sana.
Read all of 2 Samweli 1
Cross References
Proverbs 25:2Ni Utukufu wa Mungu kuficha jambo, 2 bali ni utukufu wa wafalme kuchunguza jambo. 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 1:5