2 Samweli 10:14
Waamoni walipoona Waaramu wanakimbia, nao wakakimbia mbele ya Abishai na kuingia ndani ya mji. Basi Yoabu akarudi kutoka kupigana na Waamoni na kufika Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Basi Yoabu na vikosi vyake wakasonga mbele kupigana na Waaramu, nao Waaramu wakakimbia mbele yake.
15Baada ya Waaramu kuona wameshindwa na Israeli, wakajikusanya tena.
Cross References
2 Samuel 8:12yaani Edomu, Moabu, Waamoni, Wafilisti na Waamaleki. Pia akaweka wakfu nyara alizoteka kutoka kwa Hadadezeri mwana wa Rehobu, mfalme wa Soba.
2 Samuel 22:38“Niliwafuatia adui zangu na nikawaseta, 2 sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa. 1
1 Chronicles 18:12Abishai mwana wa Seruya akawaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi.