bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 11 › 2 Samweli 11:12
2 Samweli 11:12
Ndipo Daudi akamwambia, “Kaa hapa siku moja zaidi, nami kesho nitakutuma urudi.” Kwa hiyo Uria akakaa Yerusalemu siku ile na siku iliyofuata.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And David said to Uriah, Tarry here to day also, and to morrow I will let thee depart. So Uriah abode in Jerusalem that day, and the morrow.
In Context
11Uria akamwambia Daudi, “Sanduku la Mungu, na Israeli na Yuda wanakaa kwenye mahema, naye bwana wangu Yoabu na watu wa bwana wangu wamepiga kambi mahali pa wazi. Ningewezaje kwenda nyumbani kwangu ili nile, ninywe na kukutana na mke wangu? Hakika kama uishivyo sitafanya jambo la namna hiyo!”
13Kwa ukaribisho wa Daudi, Uria akala na kunywa pamoja naye, Daudi akamlevya. Lakini jioni Uria alitoka kwenda kulala juu ya mkeka wake miongoni mwa watumishi wa bwana wake, hakwenda nyumbani.
Read all of 2 Samweli 11
Cross References
Jeremiah 2:22Hata ujisafishe kwa magadi 2 na kutumia sabuni nyingi, 2 bado doa la hatia yako liko mbele zangu,” 4 asema Bwana Mwenyezi. 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 11:12