2 Samweli 12:31
Akawatoa watu waliokuwa humo, akawaweka wafanye kazi kwa misumeno, sululu za chuma na mashoka, naye akawaweka kwenye kazi ya kutengeneza matofali. Akafanya hivi kwa miji yote ya Waamoni. Kisha Daudi na jeshi lake lote wakarudi Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 8:2Pia Daudi akawashinda Wamoabu. Akawafanya walale chini kwa mstari akawapima kwa urefu wa kamba. Kila alipopima urefu wa hiyo kamba mara mbili hilo kundi waliuawa na alipopima mara ya tatu aliwaacha hai. Kwa hiyo Wamoabu wakawa chini ya Daudi nao wakamletea kodi.
Psalms 21:8Mkono wako utawashika adui zako wote, 2 mkono wako wa kuume utawakamata adui zako. 1
Amos 1:13Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Amoni, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu aliwatumbua wanawake wajawazito wa Gileadi 2 ili kuongeza mipaka yake. 1