bible.software › 2 Samuel › 2 Samuel 13 › 2 Samuel 13:2
2 Samuel 13:2
Amnoni akasumbuka sana kuhusu Tamari hata akaugua, kwa kuwa Tamari alikuwa bikira, na ilionekana kwamba haiwezekani Amnoni kumfanyia jambo lolote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Amnon was so vexed, that he fell sick for his sister Tamar; for she was a virgin; and Amnon thought it hard for him to do any thing to her.
In Context
1Ikawa baada ya hayo, Amnoni mwana wa Daudi akampenda Tamari, umbu lake Absalomu mwana wa Daudi, ambaye alikuwa mzuri wa sura.
3Basi Amnoni alikuwa na rafiki jina lake Yonadabu mwana wa Shimea, + 13:3 Shimea pia hutamkwa Shama. nduguye Daudi. Yonadabu alikuwa mtu wa hila nyingi sana.
Read all of 2 Samuel 13
Cross References
Song of Solomon 5:8Enyi binti za Yerusalemu, ninawaagiza: 2 kama mkimpata mpenzi wangu, 1 mtamwambia nini? 2 Mwambieni ninazimia kwa mapenzi. Marafiki 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Samuel 13:2