bible.software › 2 Samuel › 2 Samuel 13 › 2 Samuel 13:7
2 Samuel 13:7
Daudi akampelekea Tamari ujumbe huko kwenye jumba la kifalme, kusema: “Nenda katika nyumba ya ndugu yako Amnoni ukamwandalie chakula.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then David sent home to Tamar, saying, Go now to thy brother Amnon’s house, and dress him meat.
In Context
6Kwa hiyo Amnoni akalala kitandani kujifanya mgonjwa. Mfalme alipokuja kumwona, Amnoni akamwambia, “Ningependa dada yangu Tamari aje na kuniandalia mikate maalum mbele yangu, ili nipate kula toka mkononi mwake.”
8Kwa hiyo Tamari akaenda nyumbani kwa nduguye Amnoni, ndugu ambaye alikuwa amelala. Tamari akachukua unga uliotiwa chachu akaukanda, akaiandaa mikate mbele yake na kuioka.
Read all of 2 Samuel 13
Cross References
1 Chronicles 15:1Baada ya Daudi kujijengea nyumba zake katika Mji wa Daudi, akatengeneza sehemu kwa ajili ya Sanduku la Mungu, kisha akasimamisha hema kwa ajili yake.
This Verse In Other Editions
Study 2 Samuel 13:7