bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 15 › 2 Samweli 15:33
2 Samweli 15:33
Daudi akamwambia, “Kama ukienda pamoja nami, utakuwa mzigo kwangu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Unto whom David said, If thou passest on with me, then thou shalt be a burden unto me:
In Context
32Daudi alipofika kwenye kilele cha mlima, mahali ambapo watu walikuwa wamezoea kumwabudu Mungu, Hushai, Mwariki, alikuwako huko kumlaki, joho lake likiwa limeraruka na mavumbi kichwani mwake.
34Lakini ikiwa utarudi mjini na kumwambia Absalomu, ‘Nitakuwa mtumishi wako, ee mfalme; nilikuwa mtumishi wa baba yako wakati uliopita, lakini sasa nitakuwa mtumishi wako,’ basi utaweza kunisaidia kwa kupinga shauri la Ahithofeli.
Read all of 2 Samweli 15
Cross References
2 Samuel 19:35Sasa nina miaka themanini. Je, naweza kutofautisha kati ya lililo jema na lililo baya? Je, mtumishi wako anaweza kujua ladha ya kile anachokula au anachokunywa? Je, bado naweza kusikiliza sauti za waimbaji wa kiume na za wanawake? Kwa nini mtumishi wako aongeze mzigo kwa bwana wangu mfalme?
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 15:33