bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 16 › 2 Samweli 16:6
2 Samweli 16:6
Akamtupia Daudi na maafisa wote wa mfalme mawe, ingawa vikosi vyote na walinzi maalum walikuwa kulia na kushoto mwa Daudi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he cast stones at David, and at all the servants of king David: and all the people and all the mighty men were on his right hand and on his left.
In Context
5Mfalme Daudi alipokuwa anakaribia Bahurimu, mtu mmoja kutoka ukoo huo huo kama jamaa ya Sauli, akatoka humo, ambaye jina lake ni Shimei mwana wa Gera; akawa analaani alipokuwa akitoka.
7Shimei alivyokuwa akilaani, akasema, “Toka hapa, toka hapa, wewe mtu wa damu, wewe mtu mbaya kabisa!
Read all of 2 Samweli 16
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 16:6