2 Samweli 18:27
Mlinzi akasema, “Ninaona kuwa yule wa kwanza anakimbia kama Ahimaasi mwana wa Sadoki.” Mfalme akasema, “Yeye ni mtu mwema. Analeta habari njema.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 1:42Hata alipokuwa anasema, Yonathani mwana wa kuhani Abiathari akafika. Adoniya akasema, “Ingia ndani. Mtu mstahiki kama wewe ni lazima alete habari njema.”
Proverbs 25:13Kama vile ubaridi wa theluji wakati wa mavuno 2 ndivyo alivyo mjumbe mwaminifu kwa wale wamtumao, 2 huburudisha roho za bwana zake. 1
Isaiah 52:7Tazama jinsi miguu ya wale waletao habari njema 2 ilivyo mizuri juu ya milima, 1 wale wanaotangaza amani, 2 wanaoleta habari njema, 2 wanaotangaza wokovu, 1 wauambiao Sayuni, 2 “Mungu wako anatawala!” 1