2 Samweli 18:3
Lakini watu wakasema, “Haikupasi kwenda, ikiwa sisi tutalazimika kukimbia, wao hawatatujali. Hata kama nusu yetu tukifa hawatajali, lakini wewe una thamani ya watu kama sisi kumi elfu. Ingekuwa bora zaidi kwako basi kutupatia msaada kutoka mjini.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 10:11Yoabu akasema, “Kama Waaramu watanizidi nguvu, basi itawabidi mje kunisaidia. Lakini kama Waamoni watawazidi nguvu, basi nitakuja kuwasaidia.
2 Samuel 21:17Lakini Abishai mwana wa Seruya akaja kumwokoa Daudi; akampiga huyo Mfilisti, akamwangusha chini na kumuua. Ndipo watu wakamwapia Daudi, wakisema, “Kamwe hutakwenda tena nasi vitani, ili kwamba taa ya Israeli isije ikazimwa.”
Lamentations 4:20Mpakwa mafuta wa Bwana, pumzi ya uhai wetu hasa, 2 alinaswa katika mitego yao. 1 Tulifikiri kwamba chini ya kivuli chake 2 tungeliweza kuishi miongoni mwa mataifa. 1