bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 2 › 2 Samweli 2:17
2 Samweli 2:17
Siku hiyo vita vilikuwa vikali sana, naye Abneri na watu wa Israeli wakashindwa na watu wa Daudi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there was a very sore battle that day; and Abner was beaten, and the men of Israel, before the servants of David.
In Context
16Kisha kila mtu akakamatana na mpinzani wake kichwani na kuchomana kwa upanga, nao wakaanguka chini pamoja. Kwa hiyo mahali pale katika Gibeoni pakaitwa Helkath-Hasurimu. + 2:16 Helkath-Hasurimu maana yake Uwanja wa Mapambano.
18Wana watatu wa Seruya walikuwako huko: nao ni Yoabu, Abishai na Asaheli. Basi huyo Asaheli alikuwa na mbio kama paa.
Read all of 2 Samweli 2
Cross References
Proverbs 17:14Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; 2 kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza. 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 2:17