2 Samweli 2:20
Abneri akaangalia nyuma na kumuuliza, “Ni wewe, Asaheli?” Akamjibu, “Ndiyo.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then Abner looked behind him, and said, Art thou Asahel? And he answered, I am.
In Context
19Asaheli akamfukuza Abneri, pasipo kugeuka kulia wala kushoto wakati akimfuata.